Consultation ya Kitaalamu
Ongea na Dr. Gwalugano kuhusu lishe ya mtoto wako
Pata ushauri wa moja kwa moja kuhusu uzito, ulaji, ukuaji, na changamoto za kiafya za mtoto wako kutoka kwa daktari mtaalamu wa lishe.
TZS 15,000/ consultation
Tathmini ya kibinafsi
Daktari atapitia historia ya mtoto wako
Mtaalamu aliyethibitishwa
Daktari mwenye uzoefu wa watoto
Mpango wa lishe
Mpango maalum kwa mtoto wako
Jinsi ya kulipa
Lipa TZS 15,000 kupitia M-Pesa au Tigo Pesa kwenda namba: 0712 345 678
Jina: Dr. Gwalugano. Baada ya kulipa, andika reference yako hapa chini.